# wakashupaza mabega yao "walikuwa kama ng'ombe wanaokataa kuwekewa nira" au "walikuwa kama ng'ombe aliyekataa kutii" # waliziba masikio yao "walikataa kusikia" # waliifanya migumu mioyo yao kama mwamba "Walikataa kutii ujumbe wa Yahwe" # kwa kinywa cha manabii "kupitia maneno ya manabii"