# Kuna malikia sitini, masuria themanini Kuna malikia 60, masuria 80." # wanawake wadogo bila idadi Maneno, "bila idadi" yamaanisha hakuna anaweza kuwahesabu. "maelfu ya wanawake wadogo" # Hua wangu, asiye na doa wangu Ona jinsi ulivyo tafsiri "Hua wangu, asiye na doa wangu" 5:2 # ni yeye pekee "ni wa pekee" au "ni mmoja wa wachache." Mpenzi ana mtofautisha mwanamke na wanawake wengine. Japo kuwa kuna wanawake wema wengi, mwanamke ana simamawa kipekee miongoni mwa wote. # ni binti muhimu wa mama yake "kwa mama yake ni binti maalumu" au "yeye ni binti wa mama yake ambaye ni wa kipekee" # mwanamke aliye mzaa "mwanamke aliye mzaa." Haya maneno ya muongelea mama yake. # na kumuita mbarikiwa "na kukiri kuwa mambo yamemuendea vizuri" au "kusema kuwa yeye alikuwa na bahati"