# Kauli unganishi Paulo anatoa salamu kutoka kwa waumini ambao wako pamoja naye. # Lukio...Yasoni...na Sospeter...Tertio Haya ni majina ya wanaume. # Tertio Tertio ndiye mwanaume aliyeandika yale Paulo aliyoyafundisha. # Nawasalimu katika Bwana "Nawasalimu ndugu waumini katika Bwana"