# Sentensi unganishi: Paulo anawaambia waumini wa Rumi kuhusu mipango yake ya kwenda Yerusalemu na anawaomba waumini kuombea. # Nilikuwa pia nimezuiliwa Haina umuhimu kumtambua aliyekua amemzuia Paulo. "Walinizuia" au "watu walinizuia" # sina tena sehemu yoyote katika mikoa hii Paulo anamaanisha kuwa hakuna sehemu katika maeneo haya wanamuishi watu ambapo Injili haijahubiriwa