# Wewe ni nani, wewe unaye hukumu mtumishi ambaye ni mali ya mtu mwingine? Paulo anatumia swali kukemea wale wanao hukumu wengine. " wewe si Mungu, na hunaruhusa ya kuhukumu mojawapo wa watumishi wake" # Wewe, wewe U-moja # Ni mbele ya bwana wake kuwa anasimama au kuanguka "Ni bwana wake tu anaweza kuamua ikiwa atamkubali mtumishi au atamkataa" # Lakini atamfanya asimame, kwa kuwa Bwana ana uwezo wa kumsimamisha. "Lakini Bwana atamkubali kwa sababu anauwezo wa kumfanya mtumishi akubalike"