# Msilipe ovu kwa ovu "Msifanye yaliyo maovu kwa mtu aliyewafanyia maovu" # Fanyeni mambo mema machoni pa watu wote "Fanyeni mambo ambayo kila mtu ataona ni mazuri" # Kama ilivyowekwa kwenu, kuweni na amani na watu wote "Fanyeni lolote mnaloweza kuwa na amani na kila mtu" # Kama ilivyowekwa kwenu "Kama mnavyoweza kudhibit na ni wajibu kwa"