# sheria ilikuja na "Sheria ilikuja kwa siri" # kosa liweze kuongezeka Hii ina maanisha vyote kwamba "watu wapate kuelewa kwa kiasi gani wamefanya dhambi" na "watu wapate kufanya dhambi zaidi." # kuongezeka "kuongezeka" # kama dhambi utawala katika kifo "kama dhambi ilivyosababisha kifo" # hata neema iweze kutawala kupitia haki kwa maisha ya milele kupitia Yesu Kristo Bwana wetu "neema iliwapa watu maisha ya milele kupitia haki ya Yesu Kristo Bwana wetu" # Bwana wetu Paulo anawajumuisha wasomaji wake na wakristo wote.