# taa yake ni Mwanakondoo Hapa utukufu wa Yesu , Mwanakondoo, unazungumziwa kama vile ni taa inayotoa nuru kwa ajili ya mji. # Milango yake haitafungwa Hii inaweza kuelezwa kwa hali ya kutenda. "Hakuna atakayefunga milango yake"