# Taarifa ya Jumla: Yohana anaanza kumuelezea mwanamke anyemuona katika maono. # Ishara kuu ilionekana mbinguni "Ishara kuu ikatokea mbinguni" au "Mimi, Yohana, niliona ishara kuu mbinguni" # mwanamke aliyefunikwa na jua "mwanamke aliyelivaa jua" # taji ya nyota kumi na mbili Hii ilikuwa ni mfano wa shada la majani ya laurusi na matawi ya mizeituni, lakini zikiwa na nyota kumi na mbili. # nyota kumi na mbili "nyota 12"