# wazee ishirini na wanne wazee wanne** -"wazee 24" # nyuso zao zimeinama chini Kulala chini kwa kutazama ardhi. # Mungu mwenye Nguvu, ambaye yupo na ambaye alikuwepo Hizi zinaweza kuwa sentesi. "Wewe, Bwana Mungu, ndiye mtawala juu ya vyote. Wewe ndiye uliyepo, na wewe ndiye uliyekuwepo" # ambaye yupo "yule aliyepo" au "yule anayeishi" # alikuwepo "aliyekuwepo" au "yule ambaye alikuwa anaisha daima" # umetwaa nguvu yako kuu Mungu alichofanya na nguvu yake kuu inaweza kuwekwa wazi. "umewaangamiza kwa nguvu yako wote waliokuasi"