# Kauli Unganishi: Malaika wa sita kati ya saba kupuliza tarumbeta. # nikasikia sauti ikitoka Sauti inamaanisha yule aliyekuwa anazungumza. Yohana hasemi msemaji ni nani, lakini inawezekana ikawa ni Mungu. "Nilisikia mtu akizungumza" # pembe ya madhabahu ya dhahabu Hizi ni zile zehemu zinazoendeleza kona nne za juu ya madhabahu zinazofanana na pembe. # Sauti ilimwambia Sauti inamaanisha msemaji. "Msemaji akamwambia" # Malaika wale wanne waliokuwa wameandaliwa kwa ... mwaka huo, waliachiwa "Malaika akawaachia wale malaika wanne waliokuwa wameaandaliwa kwa ... mwaka huo" # Malaika wale wanne waliokuwa wameandaliwa "Malaika wanne ambao Mungu aliwaanda" # kwa saa hiyo, siku hiyo, mwezi huo, na mwaka huo Haya maneno yanatumika kuonesha kuwa kuna muda bayana na siyo muda wowote tu. "kwa muda huo bayana"