# kuwa mkweli na utubu "kuwa makini na utubu" # nasimama katika mlango na kubisha Yesu anazungumzia watu kutaka kuhusiana naye kama vile wanataka kumkaribisha nyumbani mwao. "Mimi ni kama yule asimamaye mlangoni akibisha hodi" # na kubisha Watu hubisha hodi wakitaka kukaribishwa kwenye nyumba ya mtu. "na ninataka mniruhusu niingie ndani" # asikiaye sauti yangu Msemo wa "sauti yangu" huonesha Yesu akizungumza. "anayesikia nikizungumza" au "anayesikia nikiita" # nitakuja na kuingia nyumbani kwake Lugha zingine zinaweza kupendelea kitenzi cha "nenda". "Nitaenda nyumbani kwake" # na kula naye Hii huonesha kuwa pamoja kama marafiki.