# Yahwe ni wa haki katika njia zake zote "Watu wanaweza kuona katika yote ambayo Yahwe anafanya kuwa yeye ni mwenye haki" # mwenye fadhili katika yote atendayo "na ni mwenye fadhili katika yote atendayo" au "watu wanaweza kuona katika mambo yote ambayo Yahwe anafanya ya kuwa ni mwenye fadhili" # yuko karibu kwa wale wote wanaomwita "anatenda upesi kuwasaidia wale wanaoomba" # wale wote wanaomwita kwa uaminifu "kwa wale wanaosema ukweli tu wanapoomba" au "kwa wote wale anaowaamini wanapoomba"