# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # zaburi ya kusifu ya Daudi "Hii ni zaburi ya kusifu ambayo Daudi aliandika" # Nitakutukuza wewe "Nitawaambia watu jinsi ulivyo wa ajabu" # Nitabariki jina lako Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe. "jina lake tukufu libarikiwe", "ubarikiwe" au "fanya kinachokufurahisha" # Nitalisifu jina lako Neno "jina" ni njia nyingine ya kusema Yahwe mwenyewe. "nitakusifu" au "nitawaambia watu jinsi ulivyo mkuu"