# sikia vilio vyangu Huu ni wito wa msaada. "nisikie ninapokuita sasa unisaidie" # unalinda kichwa changu katika siku ya vita Kichwa cha mtu huwa kwenye hatari kubwa wakati wa vita. "unanilinda ninapoenda vitani" # vita Hapa"vita" inaweza kumaanisha shida kubwa ya aina yoyote. # usitimize hamu za waovu "tafadhali usiwaruhusu waovu kupata wanachotamani" # waovu "watu waovu"