# SHINI Hili ni jina la herufi ya ishirini na moja ya alfabeti ya Kihebrania. Katika lugha ya Kihebrabia, kila mstari wa msistari ya 161-168 unaanza na herufi hii. # moyo wangu unatetemeka, ukiogopa kutokutii neno lako Mwandishi anazungumzia moyo kana kwamba unaweza kutetemeka na kuogopa. Moyo ni njia nyingine ya kusema mtu mzima. "Ninatetemeka kwa sababu ninaogopa kuwa nitakaidi neno lako" # mapato Maana zinazowezekana ni 1) vitu ambavyo askari huchukua kwa wale waliowashinda katika vita au 2) vitu vya thamani kubwa au "hazina."