# Acha uso wako ung'ae kwa mtumishi wako Mwandishi anamzungumzia Yahwe kutenda kwa fadhila kwake kana kwamba uso wa Yahwe ulitoa mwanga juu yake. "Tenda kwa fadhila kwa mtumishi wako" # Mikondo ya machozi Mwandishi anazungumzia machozi yake mengi kana kwamba ni mkondo wa maji. "Machozi mengi" # hawafuati sheria yako "hawatii sheria yako"