# nitawekwa thabiti Mwandishi anazungumzia kuimarishwa katika amri za Mungu kana kwamba hakuna mtu anayeweza kumsogeza kimwili. # kuangalia sheria zako "katika kutii sheria zako" # sitaaibishwa Mwandishi hataki kuaibishwa akiwa katika uwepo wa Mungu. # amri zako zote "yote uliyo tuamuru"