# Taarifa ya jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # husikia saauti yangu na maombi yangu ya huruma Hapa neno"sauti" linawakilisha mtu anayeongea. Msemo, "maombi yangu ya huruma" unaeleza anachokisema. "hunisikia ninapojieleza kwa ajili ya huruma"