# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kihebrania. # kwa moyo wangu wote Hapa neno "moyo" inawakilisha mtu kamili na hisia. "kwa kila kitu nilivyo" # katika kusanyiko la wanyofu, katikati yao Misemo hii miwili inamaanisha kitu kimoja na inaweza kuunganishwa kama ikihitajika. "katika mkusanyiko wa watu wanyofu" # yanasubiriwa kwa hamu na wale wote wanaoyatamani Yanaosubiriwa ni "matendo ya Yahwe." HIi inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "wale wote wanaotamani kazi za Yahwe wanasubiri kwa hamu" # yanasubiriwa kwa hamu Maana zinazowezekana ni 1) "kutafuta" au 2) "kusoma"