# Mfalme alituma watumishi kumweka huru; mtawala wa watu akamweka huru Misemo hii miwili ina maana moja na inatumika pamoja kwa msisitizo ya kwamba mfalme alimweka huru. # Kisha Israeli akaja mpaka Misri Hapa "Israeli" ina maana ya Yakobo. Yakobo alileta familia yake pamoja naye. "Kisha Israeli na familia yake kuja Misri"