# Taarifa ya Jumla: Mstari huu una amri unaofuatwa na sababu ya amri hiyo. "Kwa sababu ya kile ambacho Yahwe amewafanyia, nyie watu wenye haki, kuweni na furaha na mpeni shukrani mnapokumbuka utakatifu wake" # Furahini katika Yahwe "Furahini kwa sababu ya kile ambacho Yahwe amewatendea" # mnapokumbuka utakatifu wake Maana zinazowezekana ni 1) "mnapokumbuka jinsi alivyo mtakatifu" au 2) "kwa jina lake tukufu," ni njia nyingine ya kusema "kwake."