# Tangazeni utukufu wake katika mataifa "Waambie watu katika kila taifa kuhusu utukufu wake mkuu" # Yahwe ni mkuu na ni wakusifiwa sana "Yahwe ni mkuu. Msifuni sana" au "Yahwe ni mkuu, na watu wanapaswa kumsifu sana" # Yeye ni wa kuogopwa zaidi ya miungu mingine yote "Mcheni zaidi ya miungu mingine yote"