# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # mwamba wa wokovu wangu Mwandishi anamzungumzia Yahwe kana kwamba ni mlima ambao watu wanaweza kupanda ili wawe salama. "mwamba ambao tunaweza kwenda na Mungu atatuokoa." # tuingie katika uwepo wake Mwandishi anazungumza kana kwamba anawaambia wasomaji kwenda katika chumba cha enzi cha mfalme. "nenda mahali alipo" # kwa shukrani "kwa kumshukuru tunapoingia katika uwepo wake" # mkuu kwa miungu yote Maana zinazowezekana ni kwamba Yahwe ni mfalme mkuu 1) "ambaye anatawala juu ya miungu wengine yote," au 2) "ambaye ni bora zaidi ya miungu wengine yote."