# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anaendelea kuwaeleza watu waovu. # Yeye anayeyaadibu mataifa, je harekebishi? Inadokezwa kuwa yahwe anawarekebisha watu wake. "Mnajua kuwa Yahwe huyarekebisha mataifa, kwa hiyo kuweni na uhakika kuwa atawarekebisha watu wake" au "atawaadhibu watu wake" # je harekebishi Maana zinazowezekana ni 1) Mungu hurekebisha. "hurekebisha" au 2) Mungu huadhibu. "huadhibu" # kuwa ni mvuke Hapa mawazo ya watu yanalinganishwa na mvuke unaopotea hewani. Hii ni sitiari inayoonesha jinsi wasivyo wa muhimu na wasivyo na faida. # mvuke "umande"