# watoto wake "uzao wa Daudi" # nitaadhibu uasi wao kwa fimbo Mungu kuadhibu uzao wa Daudi inazungumziwa kana kwamba atawapiga kwa fimbo. "nitawaadhibu kwa kuasi dhidi yangu" # na udhalimu wao kwa mapigo Mungu kuadhibu uzao wa Daudi inazungumziwa kana kwamba Mungu atawapiga kiuhalisia. "na nitawaadhibu kwa sababu wametenda dhambi dhidi yangu"