# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anamwomba Mungu kuwashinda adui wa Israeli kama alivyofanya kipindi cha nyuma. # Orebu ... Zeebu ... Zeba ... Zalmuna Haya yote ni majina ya wafalme. # Wakasema Hapa "Wakasema" inamaanisha Orebu, Zeebu, Zeba na Zalmuna. # malisho ya Mungu Mwandishi anazungumzia nchi ya Israeli kana kwamba ni nchi kwa ajili ya kondoo kula na Mungu alikuwa mchungaji wao aliyekuwa akiwachunga.