# Kisha wakati chakula kilikuwa bado midomoni mwao (78:29) # hasira ya Mungu ikawashambulia "Mungu alikuwa na hasira na akawashambulia." # akawaleta chini "akawaua" # hawakuamini matendo yake ya ajabu Neno "matendo" ni njia nyingine ya kusema Mungu, ambaye alifanya hayo matendo. "hawakuamini kuwa atawatunza licha ya kufanya mambo ya ajabu hivyo"