# Sauti yako ya radi Hii ni kuipa sifa ya mtu, sauti ya radi ya Mungu. "sauti, ambayo ilikuwa na sauti zaidi ya radi" au "sauti kubwa sana" # radi ilimulika ulimwengu Radi ilionekana kama kuimulika dunia yote. "radi ilimulika kila kitu hadi mwisho wa upeo wa macho" # Njia yako ... njia yako Misemo hii miwili inamaana za kufanana na imeunganishwa kwa ajili ya mkazo. # nyayo zako Asafu anamzungumzia Yahwe kana kwamba Yahwe alikuwa ni mtu mwenye miguu. # nyayo zako hazikuonekana "hakuna mtu aliyeona nyayo zako" # Uliwaongoza watu wako kama kundi Tashbihi hii inawafananisha watu wa Mungu na kundi la wanyama. # kwa mkono wa Msemo "kwa mkono" hapa unamaanisha "kwa matendo ya" au "kupitia matendo ya." # mkono Hapa "mkono" ni njia nyingine ya kusema mtu mzima.