# Taarifa ya Jumla: Asafu anamzungumzia Mungu kana kwamba Mungu alikuwa askari anayerudi kutoka katika mlima baada ya kushinda vita vikuu. # Unang'aa kwa nguvu na kuonesha utukufu wako Mseno wa pili unaimarisha ule msemo wa kwanza ya kwamba utukufu wa Yahwe inaonesha Yahwe kung'aa kwa nguvu. # Unang'aa kwa nguvu Maneno "unang'aa kwa nguvu" ni sitiari kwa ajili ya kuwa mkuu. "Unaonesha jinsi ulivyo mkuu" # wenye mioyo ya ujasiri walitekwa "Watu wako waliwaua askari shupavu wa adui zao na kuchukua mali zao zote" # walisinzia Hapa "walisinzia" ni tasifida ya kufa. "walikufa' au "walianguka chini na kufa"