# moyo wangu ulihuzunika neno "moyo" ni njia nyingine ya kusema mawazo na hisia za mtu. "nilikuwa na huzuni sana" # niliumia sana Mwandishi wa zaburi anazungumzia maumivu ya hisia kana kwamba ni maumivu ya mwili. "nilihisi kama mtu ameniumiza kwa kisu au mshale." # mjinga na kukosa utambuzi Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza kiasi gani hakujua. "mjinga sana" # kukosa utambuzi "kutukuelewa kitu" # yako Hapa anayemaanishwa ni Mungu.