# Achawatu wakusifu ... acha watu wakusifu Kishazi cha pili kinaogenza uzito wa maana ya ile ya kwanza kwa kusisitiza umuhimu wa kumsifu Mungu. # acha mataifa ... tawala mataifa Hapa "mataifa" yanamaanisha watu wanaoishi katika mataifa yote duniani. # kwa haki "kwa usawa"