# ninataka kujikwaa Maana zinazowezekan kwa sitiari hii ni 1) "ninaumwa sana hadi ninataka kufa" au 2) "nitaangamia hivi karibuni." # niko kwenye maumivu endelevu "niko kwenye maumivu daima"