# Maneno yake ni Hii inamaanisha kauli zake. "Anachosema ni" # kufanya mema "kufanya vitu ambavyo ni vyema" # anaenda katika njia ya uovu Vitendo vya dambi vyamtu vinazungumziwa kana kwamba alikuwa akitembea kwenye njia ambayo ilikuwa na uovu. # hapingi uovu "hapingi tabia za uovu"