# Taarifa ya Jumla: Kila mstari una mistari miwili yenye maana za kufanana. # Yahwe huzuia "Yahwe huangamiza" au "Yahwe huvunja" # mwungano wa mataifa Hapa "mataifa" yanamaanisha watu wa mataifa haya. "mwungano wa watu wa mataifa tofauti" # mwungano Mwungano ni makubaliano kati ya mataifa mawili au zaidi kusaidiana katika vita dhidi ya adui mmoja. # mipango ya watu "dhamira ya watu" "mipango ya uovu ya watu" # inasimama milele Hapa "kusimama" ni lahaja inayomaanisha "kudumu." # mipango ya moyo wake kwa vizazi vyote Neno ambalo halipo "kusimama" linadokezwa. "mipango ya moyo wake inasimama vizazi vyote" # mipango ya moyo wake Hapa "moyo wake" inamaanisha Yahwe. "mipango yake" # kwa vizazi vyote "kwa vizazi vyote vya mbeleni." Hii ni lahaja inayomaanisha "milele" # Limebarikiwa taifa Hapa "taifa" linamaanisha watu wa taifa hilo. "Wamebarikiwa watu wa taifa" # ambalo Yahwe ni Mungu wake "wanao mwabudu Yahwe kama Mungu" # kama urithi wake Watu ambao Yahwe amewachagua kumwabudu wanaelezwa hapa kana kwamba ni urithi ulioupokea.