# kama mtu mfu ambaye hakuna mtu Mwandishi anasema kuwa watu wamemsahau sana hadi inakuwa kana kwamba ameshakufa tayari. # kama chungu kilicho vunjika Mwandishi anajizungumzia kana kwamba hafai kabisa. "sifai kama chungu kilichovunjika" # kunong'ona kwa wengi Inadokezwa kuwa "wengi" inamaanisha watu. "watu wengi wananisema" # habari za kuogofya kutoka kila upande "taarifa za kutisha kutoka vyanzo vingi" # kuchukua maisha yangu Lahaja hii inamaanisha kuua mtu. "kuniua"