# Akafanya giza ... yeye Hapa neno "yeye" linamaanisha Yahwe # Akafanya giza hema Hapa giza linazungumziwa kana kwamba ni hema. "Akafanya giza kitu cha kufunikia" au "Akafanya giza sehemu ya kujifichia" # mawingu mazito ya mvua "mawingu na mvua kubwa" au "mawingu manene, meusi" # Mvua ya mawe "mawe ya barafu"