# nithibitishe "waoneshe kuwa sina hatia" # imarisha watu wenye haki "wafanye watu wenye haki kuwa imara" au "wafanye watu wenye haki wafanikiwe" # wewe unayechunguza mioyo na akili Mioyo na akili zinaashiria tamaa na mawazo ya watu. "wewe unayejua mawazo yao ya ndani"