# chini ya vitu vitatu dunia hutetemeka, na chini ya vinne haiwezi kuvivumilia "kuna baadhi ya vitu huifanya dunia kutetemeka, ambavyo haiwezi kuvivumilia, vinne katika hivyo ni:" # mpumbavu anaposhiba chakula "Mpumbavu mwenye chakula cha kutosha" # mwanamke aliyechukiwa anapoolewa "mwanamke ambaye watu wanamchukia anapoolewa" au "mwanamke aliyetengwa anapoolewa" # anapochukua nafasi ya bibi yake anapotawala nyumba(kaya au familia)