# huficha hisia zake kwa midomo yake "huficha hisia zake kwa namna anavyoongea" au " huongea kwa jinsi ambayo watu hawawezi kufahamu hisia zake za kweli" # huweka uongo ndani yake mwenyewe "kwa hila hupanga kuumiza watu" # lakini hamwamini "lakini haamini kile anachosema" # maana kuna machukizo saba katika moyo wake "moyo wake umejaa mambo ya chuki" au "maana moyo wake umejaa chuki" # Ingawa chuki yake imefichwa kwa uongo "ingawa uongo wake umefunikwa kwa chuki" au "Ingawa hufunika chuki yake kwa uongo" # Ingawa chuki yake imefichwa kwa uongo "Ingawa hudanganya kuhifadhi chuki yake ili watu wasijue" au "Ingawa hudanganya ili watu wasijue ya kuwa anawachukia" # kusanyiko "jamii ya waisraeli"