# Maelezo ya Jumla Mistari hii ni mwendelezo wa "misemo thelathini"(22:20) # nipe moyo wako "nisikmalaya ilize kwa makini" au "nitumaini kabisa" # macho yako yatazame " zingatia sana" # malaya...mwanamke mwasherati Kuna aina mbili za wanawake washerati. "malaya" ni mwanamke ambaye hajaolewa, au "mke wa mume mwingine aliyeolewa. kwa pamoja wanaunda namna ya mwanamke mwasherati. # malaya ni shimo refu "kulala na malaya ni kama kudumbukia kwenye shimo refu " # malaya Huyu ni mwanamke ambaye hajaolewa anayefanya mambo ya ngono, wala si wale tu ambao hufanya ngono kwa ajili ya pesa. # shimo refu...kisima chembamba Sehemu hizi mbili ni rahisi kutumbukia na vigumu kutoka "shimo" kwa sababu ni "refu" na "kisima" kwa kuwa ni "chembamba" # mwanamke mwasherati ni kisima chembamba "kulala na mke wa mume mwingine ni kama kuangukia ktika kisima chembamba" # kisima shimo katika ardhi ambalo watu huchimba kwa ajili ya kupata maji # huvizia kukaa kwa kujificha na kuwa tayari kushambulia mhanga napofika # mdanganyifu "watu wadanganyifu" au "wale ambao huwadhuru wengine kwa kwa kuwadanganya"