# mwana mpumbavu ni huzuni kwa baba yake "mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake" # mwana mpumbavu ...na uchungu kwa mwanamke mwana mpumbavu...huleta uchungu kwa mwanamke # aliyemzaa "mzazi wake" # uchungu hisia za maumivu, huzunu # si vema ..wala si vizuri "siku zote ni vibaya... na ni uovu" # mtu mwenye haki "mtu asiyekuwa na hatia," # kuwachapa charaza vikali # wenye uadilifu "ambao ni waaminifu"