# mtu mwenye ufahamu hutembea katika njia iliyonyooka "mtu mwenye ufahamu hutenda yaliyo sawa" # mipango hubatilika "mipango hushindikana" # ambapo hapana ushauri "wakati hakuna mtu wa kutoa ushauri" # washauri watu ambao hutoa mwongozo wa mapendekezo kwa ajili ya shughuli # hufanikiwa "mipango hufanikiwa"