# moyo wenye furaha huufanya uso kuwa mchangamfu "mtu anapokuwa na furaha, uso wake ni mchangamfu" # huvunja moyo " humfanya mtu akate tamaa" # moyo wa mwenye ufahamu "mtu mwenye ufahamu" # kinywa cha wapumbavu hula upumbavu "watu wapumbavu hutamani upumbavu kana kwamba ni chakula ambacho wangekula"