# haki adili # kila njia njema kuishi katika njia ambao humpendeza Mungu. # hekima itaigia kwenye moyo wako Hapa "moyo" unamaanisha utu wa ndani wa mwanadamu. "utajifunza namna ya kuwa na busara ya kweli" # yatakupendeza nafsi yako "yatakupa furaha"