# Taarifa kwa uumla BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya. # Mtairithi ardhi Madai ya Waisraeli ya kuwa ile aradhi ni yao ndiko kunakofanya kusema kuwa watairithi ile ardhi. # Kura itakapoanguka kwenye kila ukoo, hiyo ardhiitakuwa mali yake "Kila ukoo utapata ardhi kulingana na kura itakavyokuwa"