# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongeea na Musa juu ya Joshua # Utaweka baadhi ya mamlaka yako kwake "utampa baadhi ya mamlaka yako" # Urimu Hili lilikuwa jiwe la thamani ambalo kuhani mkuu alilivaa kifuani pake. Alilitumia kwa kutambua mapenzi ya Mungu. # Yeye pamoja na watu wa Israeli, ambao ni watu wote "Wote yeye na taifa lote la Israeli"