# Taarifa kwa ujumla Hesabu 15:1 -32 inaelezea kile ambacho Mungu alimwambia Musa awaambie wana wa Israeli # ili kutoa harufu nzuri kwa BWANA ya ng'ombe au ya kondoo "kumfurahisha BWANA kwa kuteketeza sadaka ya ng'ombe au ya kondoo"