# Walawi wataweka mikono yao juu ya hao fahari Hiki ni kitendo cha ishara kiniachowatambulisha Walawi kuwa sawa na wanyama wanaotolewa sadaka. Kwa namna hii mtu anajitoa mwenyewe kwa BWANA kupitia wanyama. # uwainue kuwa sadaka ya kutikiswa kwa ajili yangu "uwaweke wakfu kwangu, kama vile unavyoinua sadaka ya kutikiswa"