# Kujidhiri ... amejitenga ...kujidhiri Kujidhiri ni kujiweka wakfu. # Asijinajisi Unajisi ni hali ya kutokukubalika kwa ajili ya matumizi ya BWANA. # ametengwa amejitenga mwenyewe # wakati wa kujidhiri kwake kwamba amejitenga mwenyewe # alijitunza kwa ajili ya BWANA amejitunza kwa ajili ya BWANA.